Burudani

Watu milioni nane wanapoamua kununua nyimbo zako, imetokea kwa Bruno Mars

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Bruno Mars ameingia kwenye historia baada ya ngoma zake mbili kubwa kuuza zaidi ya kopi milioni 4, nyimbo zake 24K Magic na That’s What I Like zimegonga 4X multi-platinum kwa mujibu wa RIAA huku album yake ya 24K Magic ikiuza kopi milioni 2.

Bruno Mars amekuwa msanii wa kwanza ndani ya miaka miwili kwua na nyimbo mbili zenye mauzo haya makubwa hivi,

Ndani ya miaka 10 Bruno Mars ndio msanii mwenye rekodi nyingi zaidi zilizoshika namba moja kwenye chati za billboard akiwafunika wasanii kama  Justin Bieber, Drake, Eminem na The Weekend.

Fahamu video ya za nyimbo zake mbili zimetazamwa na watu milioni 787 kwenye mtandao wa YouTube.

Mauzo haya ya single yanakusanywa kutoka kwenye mitandao tofauti inayouza muziki kama Itunes.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open