Burudani

Jaji akataa ombi la upande wa mashtaka la Kuzuia Usher kuficha mali zake.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Jaji wa mahakama moja USA amekataa ombil la Laura Helm la Kuzuia Usher kuficha mali zake iwapo atashinda kesi dhidi yake inayohusu madai ya dola milioni 20.

Laura Helm ni mwanadada aliyemshtaki Usher akidai kuambukizwa gonjwa la zinaa na staa huyu nakusema anataka kulipwa dola milioni 20.

Jaji amesema Laura Helm hana hata chembe ya haki ya kuongelea pesa za Usher na ameshindwa hata kutoa ushahidi kuhusu kesi yake.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open