Burudani

Fetty Wap kwenye beef na msaidizi wake aliyefanya utapeli kwa jina la rapa huyu.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Fetty Wap ameingia kwenye beef nyingine na mmoja ya wasaidizi wake baada ya kumfukuza kazi kutokana na uwizi wa dola $250,000.

Fetty alimfukuza Shawna Morgan kwa kosa la kutoa taarifa za uongo kuhusu kazi yake, alijiwakilisha kama meneja wa Fetty Wap

Morgan amesema yeye ndio anadai dola $250,000 kutoka kwa RGF.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open