Burudani

Jaden Mtoto wa Will Smith anavyopata dili kubwa za filamu kama baba yake.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Jaden Smith Na Elizabeth Rodriguez wamesajiliwa kuigiza kwenye filamu kubwa kuhusu mapenzi na mchezo wa SkateBoardering.

Filamu itaongozwa na Crystal Moselle, aliyetayarisha makala maarufu ya mwaka 2015 The Wolfpack.

Bado haijulikani Jaden ataigiza kama nani ila hivi karibuni mtoto huyu wa Will Smith amekuwa akitajwa kama mwigizaji mdogo anayevutia sana waongozaji wa filamu kumsajili kwaajili ya filamu zao.

 

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open