Burudani

Wizkid kaweka mfukoni tuzo hii ya kimataifa kwa uandishi wake kwenye wimbo wa Drake “One Dance”.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Star Boy Wizkid anazidi kuwaburuza watoto wa Donald Trump huko Marekani. Star huyu kutoka Nigeria aliyepewa nafasi ya kufanya kazi na Drake amepata tuzo ya mwandishi bora kutokana na mchango wake kwenye wimbo wa Drake ‘One Dance’ Ft Kyla.

WizKid amepokea tuzo hii ya kimataifa ya ASCAP kwa kuandika wimbo wa Drake One Dance Ft Kyla & Wizkid na kutokana na wimbo huu kuendelea kushika namba moja kwenye chati kubwa za muziki duniani.

One Dance ilishikilia nafasi ya kwanza kwa wiki 10 mfululizo kwenye chati za Billboards Hot 100  straight. Kupitia instagram yake WizKid aliandika “This came in last night! Big up my [email protected] for letting me work on this!! More Drake x Wizkid on the way

 

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open