Burudani

Picha, huyu ndio msanii aliyethubutu kusema yeye ndio 2 Pac mpya….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Tupac Shakur amefariki miaka 21 iliyopita, angekuwa hai basi June 16,2017 angetimiza miaka 46 duniani, filamu mpya kuhusu maisha yake All Eyez On Me ilitoka wiki hii na baadae msanii maarufu wa rap akatangaza kuwa yeye ndio Tupac Mpya.

Rapa Young Thug amesema yeye ndio TUPAC MPYA “new Pac.”

Kwenye siku ya kuzaliwa ya 2 Pac, Thugger ametoa album iliyopewa jina Beautiful Thugger Girls na akathibitisha ilikuwa imepangwa hivyo kama njia ya kuonyesha yeye ndio 2 Pac mpya…

Twit yake ilisema “Nimetoa album ya E.B.B.T.G kwenye BDAY ya 2 Pac sababu mimi ndio Pac mpya, mimi ndio muhuni Tupac alitaka kuwa” akamaliza na kusemaHivi karibuni nitamaliza alichoanza‘…

Wasanii wengine waliowahi kujiita 2 Pac ni pamoja na Lil Wayne ilikuwa mwaka 2013, Lil Durk, na rapa Future aliyesema yeye ndio 2 Pac wa kizazi kipya….

Video, Jacqueline Wolper kafunguka kuhusu beef na tusi la Mange Kimambi,Sarah wa Harmonize, mahusiano na Mh Paul Makonda…..

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open