Burudani

Picha,Uwanja wa mpira wa kikapu wapewa jina la Notorious B.I.G

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii mkubwa wa HipHop marehemu Notorious B.I.G Aka Christopher Wallace amepewa heshima huko Brooklyn,New York baada ya uwanja maarufu wa mpira wa kikapu kupewa jina lake.

B.I.G alipigwa risasi mjini Los Angeles mwaka 1997, ikiwa ni miaka 20 toka kifo chake,uwanja wa Crispus Attucks Playground umepewa jina la Christopher ‘Biggie’ Wallace Courts

New York City Councilman Robert Cornegy, aliyekuwa anaishi mtaa mmoja na Biggie,mama yake B.I.G Voletta Wallace na wajukuu zake Tyanna na mtoto wake C.J. walikuwepo.

Weka Comments Hapa

Open