Burudani

Tupac Shakur alimjua aliyempiga risasi zilizopelekea kifo chake….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Documentary mpya kuhusu maisha na kifo cha 2 Pac zinazidi kutoka kila mara,

Hii Documentary mpya inasema 2 Pac alimjua aliyempiga risasi zilizopelekea kifa chake ila polisi wa mjini Las Vegas hawakutaka kufuatilia sana kesi hio.

Documentary hii ya ‘Snapped: Notorious’ kwenye Oxygen Tv itarushwa September 10 kwa saa mbili tu

Documentary hii imetayarishwa kutokana na ushuhuda wa watu waliokuwa karibu na 2 Pac saa chache kabla hajapigwa risasi mwaka 1996, waliofunguka ni rapa Danny Boy na Yo-YoDJ Mister Cee, Meneja wa kwanza wa 2 Pac Leila Steinberg na Mwandishi wa habari za Muziki Toure.

Documentary hii itaonyesha picha ya 2 Pac na alivyopata pumzi yake ya mwisho kwenye kitanda cha hospitali mjini Las Vegas.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open