Burudani

Siku kama ya leo September 13, mwaka 1996 alifariki rapa maarufu duniani Tupac Amaru Shakur

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Siku kama ya leo September 13, mwaka 1996 alifariki rapa maarufu duniani Tupac Amaru Shakur alipokuwa akitibiwa kwenye Hospitali ya Chuo cha tiba huko Nevada nchini Marekani ikiwa ni baada ya kupigwa risasi September 7 ya mwezi huo huo.

2 Pac alikuwa kwenye pambano la ngumi la Bruce Seldon Vs Mike Tyson na alienda kwenye pambano hilo na bos wa Death Row Records Suge Knight kwenye ukumbi wa MGM Grand mjini Las Vegas, Nevada.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open