Burudani

Kundi la 3LW lafungua kesi dhidi ya Taylor Swift kwa kutumia mashairi yao.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kundil la wasichana watatu la 3LW lililofanya muziki wa RnB miaka kadha nyumba limemtuhumu pop staa Taylor Swift ametumia mashairi yao kwenye wimbo wa “Shake it Off‘ .

Wasanii Sean Hall na Nathan Butler wamesema wimbo wao wa “Playas Gon’ Play” wa mwaka 2001 una mashairi yaliyofanana na wimbo wa ‘Shake It Off’ wa Taylor Swift.
Kwenye wimbo wa Tyalor Swift kuna mashairi yanasema  “Playas, they gonna play and haters, they gonna hate.” na wasanii wa 3LW wanasema asilimia 20% ya “Shake it Off” ni mashairi yao.

Msemaji wa Taylor Swift amesema hakuna Kesi hapo ila ni wasanii tu wa 3LW wanataka pesa.


#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open