Burudani

Birdman ajitamba kumrudisha 50 Cent kwenye chati…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mkurugenzi Mtendaji wa lebo ya Cash Money, Birdman ametangaza rasmi kuwa anataka kutayarisha album mpya ya 50 Cent, na kwamba itaweza kuuza kopi milioni moja na zaidi.

Bryan “Birdman” Williams anasema amesha ongea na 50 Cent kuhusu mchongo huo ambao Birdman ameweka mezi ikini kutoa album kubwa ya hiphop na kuhakikisha inauza kopi milioni moja.

Birdman ameandika “Told [50 Cent] I wanna executive produce his next album, It’s guaranteed platinum plus.

Album ya 50 Cent chini ya Eminem na Dr DreGet Rich or Die Tryin’ iluuza kopi milioi 6 , The Massacre (5x), na Curtis (1x) na zingine zote zimefikia kopi miioni moja…..

Je Birdman anawza kumrudisha 50 Cent ?

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open