Burudani

Studio ya Dj Khaled inaitwa JERUSALEM na ni kutokana na….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Dj na Producer mkubwa wa muziki Nchini Marekani Dj Khaled ameongelea jina la studio yake na kwanini inaitwa hivyo.

Studio ya Dj Khaled inaitwa JERUSALEM na ni kutokana na chimbuko la wazazi wake ambao ni wa Marekani waliotokea Palestinian.

Khaled alizaliwa New Orleans, Louisiana, USA ila anakumbuka sana walipotoka wazaazi wake ndio maana ameipa studio yake  jina JERUSALEM na kusema ni sehemu TAKATIFU na mtu yoyote anaruhusiwa kuingia humo.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open