Burudani

Dj Khaled afanya video ya colabo ya Nas na Travis Scott…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kukamishia video ya colabo ya Rihanna na Bryson Tiller, DJ Khaled amewakutanisha wakali wa hiphop, Nas na Travis Scott kwenye kufanya video ya colabo yao.

Colabo hii ipo kwenye album ya Grateful inayotoka June 23.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open