Burudani

Siku ya kwanza Eminem na Dr Dre wanakutana, walirekodi huu wimbo…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwaka 1997 rapa Eminem alikutana na producer mkubwa wa hiphop duniani Dr. Dre na imeripotiwa kuwa siku hio hio walizama studio na kufanya wimbo wa “My Name Is” uliopo kwenye album ya Eminem The Slim Shady LP (1999).

Wimbo huu My Name Is ni sample ya wimbo wa Labi Siffre wa mwaka 1975 “I Got The…” na Dr Dre alikuwa akitaka kusample wimbo huo kwa muda mrefu ndio maana alitumia fursa fasta ya kumpa Eminem nafasi ya kuchana kwenye sample hio.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open