Burudani

Hii trailer ya filamu mpya ya Black Panther,yupo Michael B. Jordan na Lupita Nyong’o….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Hii trailer ya filamu mpya ya Black Panther kutoka Marvel Studios,filamu hii imeongozwa na Ryan Coogler ikiwa na mastaa kama Chadwick Boseman ameigiza kama T’Challa / Black Panther, Michael B. Jordan, Lupita Nyong’oDanai GuriraMartin FreemanDaniel Kaluuya, Angela BassettForest Whitaker, na Andy Serkis.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open