Burudani

Puff Daddy na Suge Knight waikubali filamu ya maisha ya 2 Pac ‘All Eyez On Me’….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa na mfanyabiashara maarufu Marekani Puff Daddy na Suge Knight wameikubali filamu mpya ya maisha ya marehemu 2 Pac iliyopewa jina All Eyez On Me,

Filamu hii fupi imetayarishw ana muongozaji wa video nchini Marekani Benny Boom na itaonyesha baadhi ya mambo kwenye maisha ya Tupac Shakur wakati wa uhai wake.

Kwa mujibu wa producer wa All Eyez On Me L.T. Hutton PDD na Suge Knight wameipitisha filamu hii na jinsi husika zao zilivyochezwa.

PDD Pia ameruhusu wimbo wa The Notorious B.I.G. “Who Shot Ya?” kutumika kama Sound Track kwenye filamu hio inayotoka June 16,2017.

Suge ameshindwa kuitazama filamu hii ya All Eyez On Me sababu yupo jela ila wanasheria wake wameitazama na kumpa muongozo.

Suge, ametumikia miaka miwili jela mpaka sasa akisubiri kesi yake ya mauwaji baada ya kumgnga mtu na gari na kupeleke mtu huyo kupoteza maisha, keshi yake itasikiliza January 2018.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open