Michezo

Kevin Durant, ameingia kwenye hii rekodi moja na Michael Jordan na Shaquille O’Neal

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Timu ya Golden State Warriors wameshinda fainali za NBA 2017 kwa vikapu 129-120 dhidi ya Cleveland Cavaliers kwenye Game 5 katika uwanja wa Oracle Arena.

Kevin Durant, ametajwa kuwa MVP,nakuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kutandika point 30 kwenye kila mechi ya fainal baada ya Shaquille O’Neal kufanya hivyo mwaka 2000.

Kevin Durant amekuwa mchezaji wa sita kufunga zaidi ya point 30 kwenye mechi zote za fainal ya NBA kwenye msimu mmoja, wachezaji wengine waliowahi kuwa na rekodi hio ni pamoja na Elgin Baylor ‘1962’, Rick Barry ‘1967’ , Michael Jordan ‘1993’ , Hakeem Olajuwon ‘1995’ na Shaquille O’Neal ‘2000, 2002’.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open