Burudani

Msanii Runtown na mpenzi Selena Leath wapata mtoto wao wa kwanza….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii kutoka Nigeria Runtown na mpenzi wake anayeishi Marekani  Selena Leath wamepata mtoto wao wa kwanza,

Mtoto huyu ni wa kiume na amepewa jina Zamar , amezaliwa , June 13, 2017.

RunTown aliandika May the good Lord place a shield of protection around you, keep you healthy and guard you as you grow into a man your mom and dad [would] be proud of ❤️
My bestfriend and my son Zamar ❤️,’

Video,Amber Lulu amkataa Shilole, atoa kauli ya mwisho kuhusu Mahusiano na Young Dee, je kweli kalala na Prezzo….

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open