Burudani

Drake asajili hichi kichwa kipwa kwenye lebo yake OVO Sound….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Drake ameongeza kichwa kipya kwenye lebo yake ya OVO Sound, msanii wa lebo hio Oliver El-Khatib ametangaza kuwastaa wa R&B #Plaza amesajiliwa kwenye lebo hio

Kusajiliwa huku kumekuja na cd ya nyimbo tano za msanii huyu iliyopewa jina Shadow, ikiwa na nyimbo kama “HOLD UP,” “WATER,” “ALL NIGHT,” “REASON,” “WANTING YOU,” na “AGAIN.”

Plaza amejiunga na wasanii kama PARTYNEXTDOOR, Majid Jordan, dvsn, na Drake kwenye lebo hii ya OVO Sound.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open