Burudani

50 Cent alifanya show 322 ndani ya mwaka mmoja ili…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kugunduliwa na Eminem na Dr Dre, na kupewa lebo kwenye Shady Records, Aftermath Entertainment na Interscope Records, rapa 50 Cent alifanya album kali ya rapa iliyopewa jina Get Rich or Die Tryin.

Baada ya album hii kutoka 50 Cent alifanya show 322 ndani ya mwaka mmoja kama njia ya kuonyesha ana njaa na shauku ya mafanikio, na pia kuthibitisha hato waangusha mabosi zake Eminem na Dr Dre.

Album ya Get Rich or Die Tryin ili mfanya 50 Cent awe miongoni mwa wasanii wa rapa waliouza zaidi album na single zao,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open