Burudani

50 Cent kumpa kichapo Joe Budden baada ya diss kwa Eminem  

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako
G-Unit General 50 Cent na msanii wa D12 ‘Bizarre’ wamemuahidi kichapo kikali msanii na mtangazaji Joe Budden baada ya staa huyu kumdiss Eminem na ngoma zake kwenye album mpya ya  Revival.
Joe kupitia kipindi alichikuwa akifanya cha “Everyday Struggle.” alisema “Mimi naona playlist hii ni uchafu tu na hata mashabiki mtandaoni wanasema ni uchafu”.
Joe kusema kauli kama hiso imechukuliwa kama diss kubwa tena kwa rapa Eminem ambaye aliwahi kuwa boss wake wakati kundi la Slaughterhouse lilikuwa chini ya lebo ya Shady Records na Joe alikuwa kwenye kundi hilo.
#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open