Burudani

50 Cent aiponda filamu ya maisha ya Tupac ‘All Eyez on Me’ alichoandika kiko hapa….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Filamu ya maisha ya msanii wa hiphop 2 Pac  ‘All Ayez On Me’ imetoka na tayari pamekuwa na mrejesho mbaya kutoka kwa watu maarufu waliotazama filamu hii.

Filamu hii iliyoigizwa na Demetrius Shipp Jr. kama 2 Pac imeanza kuonyeshwa June 16, 2017 na rapa 50 Cent anasema sio filamu bora kabisa.

50 Cent aliandika instagram Man I watched the 2 PAC film, that was some bullshit. Catch that shit on a fire stick 👎trust me. LOL SMH TRASH 

 

Video,Amber Lulu amkataa Shilole, atoa kauli ya mwisho kuhusu Mahusiano na Young Dee, je kweli kalala na Prezzo….

Exclusive, Stereo Afunguka kuhusu kujiunga WCB WASAFI, Aliyesababisha Colabo na Rich Mavoko,Nani mkali kati ya Godzila Na Wakazi ?

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open