Burudani

Alichosema P Diddy kuhusu album mpya ya JAY-Z ‘4:44’…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

P Diddy amemwagia sifa alum mpya ya JAY-Z Ya 4:44 nakusema ndio album bora zaidi.

P Diddy amesema “4:44 ni zaidi ya album,Ni wajibu wa msanii Kuonyesha umekua,4:44 ina fikra tofauti na mabadiliko ya jinsi tunavyo fikiria,Jay Z anaushawishi mkubwa kwangu na kwa watu wengine,Tumpe Ushirikiano na tushirikiane kunyanyua bidha zetu”

P Diddy ni miongoni mwa mastaa wakubwa kwenye hiphop wenye pesa nyingi na biashara tofauti ukiacha muziki, pia wawili hawa wako kwenye orodha ya Forbes ya wadau wakubwa wa hiphop wenye pesa nyingi zaidi.
Ben Pol Kufanya Colabo na Ray J Na Trey Songz wa Marekani

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open