Burudani

Picha, Amber Rose aomba ushauri mashabiki kuhusu kupunguza matiti yake, sababu iko hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Video model na mwanamitindo maarufu duniani Amber Rose ameomba ushauri mashabiki wake milioni 22.9 kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kufanyiwa upasuaji wa kupunguza matiti.

Amber Rose ametoa maelezo…

>Matiti ya Amber Rose ni size 36H na anataka kuyapunguza kutokana na maumivu ya mgongo yanayoletwa na uzito wa matiti hayo.

>Amber,33, anasema hawezi kuvaa nguo ndogo, analazimika kuvaa bra za wabibi ‘Grandma Bra’

>Amber anasema anaogopa makovu yanayoachwa na upasuaji huo na kwamba matiti yake sio feki ndio maana kashindwa kuyapunguza kirahisi tu, 

 

Watu maarufu waliowahi kufanyiwa upasuaji huu ni pamoja na Ariel Winter, Drew Barrymore, Queen Latifah, na Jennifer Connelly.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open