Burudani

Post ya AliKiba baada ya kusinda tuzo mbili za AFRIMA

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kushinda tuzo mbili za AFRIMA Weekend hii AliKiba ameandika ujumbe mfupi kwaajili ya mashabiki wake wote duniani waliompa ushirikiano mpaka kushinda tuzo hii.

AliKiba aliandika “Thank you Africa! You made it possible to win two awards @afrimawards. Fans across the world Asanteni sana” >>Akimaanisha>>Asante Afrika, mumefanya imewezekana mimi kushinda tuzo mbili za AFRIMA, Mashabiki wote duniani Asanteni Sana.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open