Burudani

Tuzo mbili alizoshinda Ali Kiba kwenye #AFRIMA 2017, Nandy hajatuangusha….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Watanzania wawili wameshinda tuzo za Muziki za AFRIMA 2017 na kuwakilisha vizuri bongo fleva Africa.

Alikiba ameshinda tuzo mbili ambazo ni Best Artist or Group in African RnB and Soul na Best Colabo kupitia #AJE Ft msanii kutoka Nigeria M.I.

African Princes Nandy ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa kike upande wa Afrika Mashariki .

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open