Burudani

Mambo 6 aliyosema AliKiba leo kwenye Interview Radioni,Kawataja Ommy Dimpoz,Jokate, Baraka Da Prince

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

AliKiba>Kuhusu kumsimamia Ommy Dimpoz,“Sio kazi kumsimamia Ommy Dimpoz kwanza ana kipaji kikubwa, ana mashabiki wake tayari”.

AliKiba>Kuhusu Baraka Da Prince Kuondoka RockStar4000 “Alikiuka na kufanya vitu ambavyo hakutakiwa kuvifanya, ndio sababu ya kutoka Rockstar, Sikufurahishwa na vitu alivyokuwa akifanya, nilikuwa naona ni utoto lakini si utoto, hivyo unamuacha afundishwe na dunia”.

AliKiba>Kuhusu TEAM Za Mitandaoni kushindana “Najaribu sana kuwaambia mashabiki wangu kwamba sishindani, ni raha yao wenyewe hivyo siwezi kuwakataza”.

AliKiba>Kuhusu Mpenzi wake wa Sasa, Je Ni Jokate>“Siwezi kumtaja mpenzi wangu wa sasa hivi, ila sio  JOKATE”

Kuhusu Kuweka Video VEVO Na Sio YouTube “Vevo wako serious sana, YouTube watu wanaweza wakaweka robot mle ndani, kule vevo haiwezekani”

AliKiba>Kuhusu Kusaidiwa kuDiss na Ommy Dimpoz>“Ommy Dimpoz hajanisaidia chochote, nilikuwa nae mji mmoja lakini sehemu tofauti, hajahusika kabisa”.

Man Water, Kuhusu nyimbo za Ali Kiba“Huu ndo wimbo wa kistaarabu, nauona uko mwepesi zaidi, na kila mtu anausikiliza kwa hisia zake,Kuna zingine kali zaidi”.
Man Water Amchana Diamond Platnumz kuhusu kushindana na AliKiba

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open