Burudani

Video ya AliKiba yafikisha watazamaji milioni 5 ndani ya siku 18

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii wa Bongo Fleva AliKiba aewashukuru mashabiki baada ya video yake mpya ‘Seduce Me’ kufikisha watazamaji milioni 5 ndani ya siku 18.

Kwenye IG Yake AliKiba aliandika>FANS!! We are at 5 Million Views in only 18 days #SeduceMe .. I want to know where all you are ..so tag me on comment and let me know where you are.. what country? what city? what place? what location? Shout out to you .. the fans 🙌🏼 #RockstarTV #SHOOOOSH#SonyMusicAfrica #RockStar4000#KingKiba 


#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open