Burudani

Amber Rose na Mama yake Wiz Khalifa kwenye beef kubwa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Amber Rose na mama mzazi wa Wiz Khalifa ‘Katie “Peachie” Wimbush-Polk’ wameingia kwenye beef kubwa baada ya Amber Rose kupiga simu ya kutoa maneno makali dhidi yake na marehemu mwanae.

Amber Rose anasema mama huyu ameshindwa kumlea vizuri mtoto wake wa kike Dorien “LaLa” Thomaz mpaka aliyefariki mwanzoni mwa mwaka huu.

Dorien ambaye ni dada yake Wiz Khalifa  alifariki kutokana na matatizo aliyopata baada ya kubadilisha jinsia.

Amber hataki bibi huyu kumtembelea mjukuu wake Sebastian,4, ambaye ni mtoto wa Wiz Khalifa. t

Wimbush-Polk amefungua kesi akidai dola $50,000 kama fidia kwa matusi na kauli chafu alizopokea kutoka kwa Amber Rose.

Amber Rose naye ameomba mahakama izuie mama huyu kumsogelea mtoto wake na yeye pia.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open