Burudani

Video,Amber Lulu amkataa Shilole, atoa kauli ya mwisho kuhusu Mahusiano na Young Dee, je kweli kalala na Prezzo….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Bongo Fleva video model na msanii mwenye hit single #Watakoma ameongelea mafanikio ya wimbo wake wa kwanza, Amber anasema rekodi hio imekuwa kubwa tofauti na watu walivyotegemea.

Amber Lulu pia ametoa sababu za kwanini Shilole hana vigezo vya Usta, amtaja msanii wa kike anayetaka kufanya naye kazi Tanzania, Mahusiano na Young D na je kweli alilala na Prezzo alivyokuwa Kenya…. Bonyeza PLAY hapo chini

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open