Burudani

Rapa André 3000 ametajwa kuigiza kwenye filamu ya sci-fi ya High Life.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa André 3000 ametajwa kwenye orodha ya wasanii watakao igiza kwenye filamu ya sci-fi ya High Life.

Muongozaji wa filamu hii Claire Denis amethibitisha mastaa kwenye filamu hii ni pamoja na Robert Pattinson (Twilight), Juliette Binoche (Godzilla), na Mia Goth (A Cure for Wellness).

Filamu ya High Life inahusu wafungwa waliokubali kufanya mission flani hatari ilikupunguziwa muda wa kutumikia kifungo chao jela.

Tumewahi kumuona Andre3000 kwenye filamu kama Four Brothers, “American Crime,” na Biopic ya Jimi Hendrix Jimi: All Is By My Side.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open