Michezo

Picha za pambano,Anthony Joshua amefanikiwa kutetea ubingwa wake wa WBA & IBF,

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Bondia kutoka Uingereza Anthony Joshua amefanikiwa kutetea ubingwa wake wa WBA & IBF baada ya kushinda pambano lake dhidi ya Mcameroon Carlos Takam katika round ya 10.

Anthony Joshua anazidi kuwa na rekodi safi baada ya kucheza mapambano 20 na kushinda yote.

 

Ingawa pamekuwa na malalamiko kuhusu msimamizi wa pambano kumzuia Mcameroon kuendelea wakati alionekana kutaka kupigana, wachambuzi wengi wanasema isingeleta tofauti.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open