Burudani

Tetesi; Zari The Boss Lady Kuvalishwa Pete na Diamond,Matayarisho yameanza

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Ni video iliyotengeneza Gumzo kuwa Zari The Boss Lady anavalishwa Pete ya uchumba wiki hii na msanii mkubwa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ambaye kwa sasa anaandamwa na skendo kubwa ya kuzaa na model maarufu Tanzania Hamisa Mobetto.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open