Burudani

Arnold Schwarzenegger athibitisha kuhudhuria pambano la Floyd Mayweather VS Conor McGregor…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwigizaji maarufu duniani Arnold Schwarzenegger amethibitisha kutokosa pambano la Floyd Mayweather na Conor McGregor kwa mujibu wa TMZ Sports.

Schwarzenegger ni habiki mkubwa wa mchezo wa ngumi na hivi karibuni alihudhuria pambano la Anthony Joshua VS Wladimir Klitschko nchini Uingereza.

Schwarzenegger amewahi kuhudhuria mapambano kibao ya Mayweather na kwenye UFC yeye ni shabiki pia na alikuwepo kwenye pambano la Conor McGregor VS Chad Mendes.

 

BillNass Kafunguka kuhusu Beef, Stress za GodZilla, alivyoipokea Diss Ya Wakazi ‘ZillNass’

#SammisagoNEWS  #StoriByMelisa

Weka Comments Hapa

Open