Burudani

Ashanti amaliza beef lake na mtangazaji  Charlamagne The God 

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa RnB Ashanti amemaliza beef lake na mtangazaji wa The Breakfast Club ya Power 105.1  na kumu UNBLOCK kwenye mtandao wa twitter.

Ashanti akiongelea beef hilo anasema hakupenda kauli za Charlamagne The God kuhusu album yake ya Braveheart  ambazo zilikuwa kauli za kimasihara sana juu ya kazi yake ya sanaa aliyoithamini sana.

Charlamagne The God ni miongoni mwa watangazaji wanaopenda kusema ukweli na kuwachana wasanii Marekani, amekuwa BLOCKED kwenye Twitter na mastaa wengi mbele kama Wendy Williams  Birdman na Amy Schumer.

#StoriBy Melisa #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open