Burudani

Post ya Askofu Gwajima baada ya kuachiwa na Polisi…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima ameachiwa na Polisi leo Feb 12 2017 baada ya mahojiano chini ya ulinzi toka 2 Feb 2017 katika kituo cha Polisi kati Dar es salaam kufuatia sakata la dawa za kulevya.

Baada ya kuachiwa huru kutoka mikononi mwa polisi Askofu Gwajima alitumia mtandao maarufu wa kijamii kuweka maneno haya kwa wanaomfuatilia “FREE AT LAST, Mungu awabariki wote mlioomba kwa ajili ya jambo hili, kesho nitakuwepo kwa ajili ya Ibada ya Jumapili, Kanisa la Ufufuo na Uzima Dar es Salaam, Mungu awabariki sana nawapenda nawaombea wote mlioomba kwaajili ya hili
Harmo Rapa Azungumzia Kukutana na P Funk, Aonyesha Gari Yake aliyopewa

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open