Burudani

Baada ya South Africa, Rayvanny anacolabo hizi kutoka mataifa ya Africa Na Nje

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kukamilisha na kutoa colabo yake na Nikk wa Pili ‘Siri’ na Makulusa Ft Maphorisa x Dj Buckz kutoka Africa Kusini, Staa wa Bongo Fleva kutoka WCB Wasafi Rayvanny amethibitisha kuwa na colabo zingine tisa kutoka mataifa tofauti Africa.

Kupitia IG Yake Rayvanny ameuliza mashabiki wake wachague colabo na msanii wa nchi gani itoke sasa, Ray aliandika >Another one 🔥 🔥 🔥 🇹🇿X🇺🇸X🇳🇬X🇿🇦X 🇷🇼 X🇰🇪 X🇦🇴 X 🇸🇪 X 🇿🇼 Choose one country!!!! Ipi ianze 🔥🔥🔥 @kifesi”.

Ray aliandika “Another one na kuweka bendera za nchini kama Tanzania, Marekani, Nigeria, Africa Kusini, Rwanda, Kenya, Angola, Sweden, Mozambique, chagua nchi moja, ipi ianze”

Hongera kwa Rayvanny kwa kuanza mwaka 2018 kwa ngona na colabo nyingi zaidi,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open