Burudani

Baada ya miaka 16 Dr Dre amesema bado anarekodi album ya DETOX

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako
Dr Dre amethibitisha kuwa bado anaendelea kurekodi muziki na kwamba album yake mpya ya Detox inaendelea kutengenezwa toka mwaka 2002.
Dr. Dre kaulizwa wiki hii kuhusu ujio wa album hio na alithibitisha kuwa inakuja na kwamba anarekodi baadhi ya nyimbo kwa sasa,
Dre amekuwa akirekodi Detox toka mwaka 2002 ila aliiweka pembeni album hio ili kufanya show ya HBO ya “The Defiant Ones”
#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open