Burudani

Picha za watoto mapacha wa Beyonce na JAY-Z

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Hizi picha za kwanza kuwa wazi za watoto mapacha wa Beyonce na JAY-Z ‘Rumi Na Sir’ waliozaliwa miezi mitano iliyopita.

Picha hii ni kutoka kwenye nyumba ya beyonce na JAY-Z mjini Miami, Florida, Beyonce anaonekana na mama yake Tina Knowles wakiwa na watoto hawa wawili.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open