Burudani

Beyonce amethibitisha sauti yake kutumika katika filamu mpya ya The Lion King.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Wapenzi wa filamu za Lion King, msanii Beyonce amethibitisha sauti yake kutumika katika filamu hio, Beyonce atatumia sauti yake kuigiza kama Nala.

Kampuni inayoandaa filamu hiyo ya ‘Disney’ imetoa orodha ya waigizaji wa sauti kwenye filamu hii,

Sauti ya Donald Glover itakuwa sauti ya Simba, James Earl Jones ataendelea kama Mufasa, Alfre Woodard kama  Sarabi, Billy Eichner na Seth Rogen sauti zao zitatumika kama Timon na Pumbaa, John Oliver kama Zazu, muongozaji wa filamu hii ni Jon Favreau.
Lion King mpya inatoka July 19, 2019 Jon Favreau.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open