Burudani

Beyonce hubadilisha EMAIL Yake kila baada ya siku 7.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii wa Pop kutoka Uingereza Ed Sheeran amefunguka kuhusu changamoto za kuwasiliana na Beyonce mpaka kukamilisha colabo yao nakusema staa huyu ambaye ni mke wa JAYZ hubadilisha EMAIL Kila baada ya siku saba.

Kwenye Interview na Entertaiment Tonight Ed Sheera anasema kumpata Beyonce kwaajili ya Remix ya ‘Perfect’, haikuwa rahisi >Beyonce anabadilisha Email yake kila baada ya wiki, nakumbuka kumtumia EMAIL ikawa pending tu ndio nilipoamua kufanya mawasiliano kwa njia ya simu, colabo yetu ilikamilika mwezi september“.

Ukiachana na Beyonce msanii mwingine ambaye kuwasiliana naye sio rahisi kabisa ni Kanye West.

 Ed Sheeran Na Beyonce

#StoriBy Melisa #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open