Burudani

Jarida la PEOPLE na TMZ wameripoti kuwa Beyonce na Jay Z wamepata watoto mapacha.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Tovuti ya TMZ imeripoti mapema leo kuwa Beyonce na Jay Z wamepata watoto mapacha.

Hii imekuwa stori kubwa wiki nzima huku mashabiki wakisubiri lini Beyonce atajifungua. Watoto hao wawili wa The Carters wamezaliwa kwenye hospitali mjini Los Angeles.

Mpaka sasa haijulikani jinsia za watoto hao, palikuwa na tetesi ni mvulana na msichana, ila hakuna ushahidi tosha wa kupitisha hilo…

Jay Z na Beyonce tayari wana mtoto wa miaka mitano, Blue Ivy 

BillNass Kafunguka kuhusu Beef, Stress za GodZilla, alivyoipokea Diss Ya Wakazi ‘ZillNass’

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open