Burudani

Tajiri namba moja duniani Bill Gates amejiunga Instagram akiwa Tanzania,Post yake ya kwanza inasema….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Tajiri namba moja duniani Bill Gates amejiunga na mtandao wa kijamii wa Instagram akiwa Tanzania na kuweka baadhi ya picha alizopiga akiwa nchini Tz.

Bill Gates anatumia jina “thisisbillgates” sababu “billgates” limeshachukuliwa.

Wiki tatu zilizopita mwanzilishi wa mtandao wa Amazon CEO Jeff Bezos ambaye mnamo July 27 alikuwa tajiri namba moja duniani kabla ya kupitwa tena na Bill Gates alijiunga na mtandao wa Instagram, kwa miaka 23 Bill Gates amekuwa namba moja kwenye orodha wa watu matajiri zaidi duniani ya FORBES.

#thisisbillgates>Hello from Tanzania, Instagram! 
I just had a great lunch with some amazing kids at Kicheba Primary School in Muheza and met Upendo Mwingira, a remarkable physician who has dedicated her career to fighting neglected tropical diseases. 
Melinda and I have been coming to Tanzania for many years now. I always love seeing how much progress the country has made to improve health and provide opportunity. Plus, the scenery is stunning. 
Whenever I travel to places like this, I wish others could come along and meet the people I get to meet. I have no doubt it would leave them as optimistic as I am about progress happening around the world. I’ll be sharing photos from my adventures here on Instagram, and I hope you’ll follow along.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open