Burudani

Kutokana na madeni, Birdman ametangaza kuuza jumba lake dola milioni 20…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mkurugenzi Mtendaji wa lebo ya Cash Money Birdman ametangaza kuuza jumba lake la kifahari mjini Miami kwa dau la dola milioni $20 million za kimarekani.

Jumba hili linavigezo vyote vya majumba ya mastaa mbele kama swimming pool, uwanja wa kikapu, na eneo kubwa la kuegesha magari

Agent Brett Harris amesema mteja wake Birdman amechoka kuwa na jumba kama hilo na anatafuta nyumba nyingine mjini Floridaila kunatetesi kuwa jumba hilo linauzwa ili kulipa madeni anayodaiwa na wasanii wake kama Drake, Tyga na Lil Wayne.

Birdman anadaiwa zaidi ya dola milioni 50 na Lil Wayne, na mwaka 2017 Forbes ilimtaja kushika namba nne kwenye orodha ya wasanii na wadau wa hiphop wenye pesa nyingi zaidi akimiliki dola milioni $110.

#SammisagoNEWS

 

Weka Comments Hapa

Open