Burudani

Picha, Bow Wow aweka wazi mahusiano yake na Model Kiyomi Leslie.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mtangazaj, Mwigizaji na rapa Bow Wow  ameripotiwa kuwa kwenye mahusiano mapya ya mwanamitindo Kiyomi Leslie.

Bow wow na Kiyomi wameonekana pamoja kwenye uzinduzi wa show ya Tv ya “Growing Up Hip Hop Atlanta”

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open