Burudani

Bobby Valentino akanusha kukimbia kumlipa kahaba baada ya Kupata huduma….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Staa wa RNB Bobby V amesema amesingiziwa kuwa alikimbia kumlipa kahaba baada ya kupata huduma zake.

Msemaji wa Bobby V anasema mteja wake alikuwa na mwanamke flani weekend hii ila mwanamke huyo hakuwa kahaba ila baadae ndio ilidaiwa kuwa Bobby hajalipia huduma za mwana dada huyo kitu ambacho amekanusha vikali akidai ni BLACK MAIL

Kilichofanya kesi hii imekuwa kubwa ni sababu mwanamke huyo alikuwa Transgender ‘Mwanaume aliyebadilisha jinsia’ ila Bobby V amethibitisha kuwa hakujua jambo hilo

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open