Burudani

Staa wa Bodak Yellow, Cardi B arudiana na mpnzi wake OFFSET

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Hit Maker wa ngoma ya Bodak Yellow Cardi B  amerudiana na mpenzi wake Offset wa kundi la MIGOS.

Weekend hii Cardi B alijitaja kuwa ni SINGE GIRL muda mfupi baad aya kugombana na kuachana na OFFSET.

Mpaka sasa haijulikani nini kilikuwa chanzo cha ugomvi wa mastaa hawa wawili ambao mwaka 2017 umekuwa mwaka mkubwa kwao, Cardi B akiwa na single kubwa duniani Bodak Yellow, na kundi la MIGOS #OffSet wakiwa na mafanikio makubwa kupitia album na nyimbo zao.

Watu wa karibu na mastaa hawa wanasema maisha ya Cardi B na fujo zake hazimpendezi OffSet na mara kwa mara ndio kitu kinachowagombanisha.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open