Burudani

Baba wa Beyonce asema hichi kitu kimoja mtoto wake hawezi kabisa kufanya…..

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baba mzazi wa msanii wa Pop na RNB Beyonce, mzee Mathew Knowles amesema mtoto wake hawezi kabisa kuzungumza mbele ya umati mkubwa wa watu na hukimbia kabisa jambo hilo.

Mathew, aliyekuwa meneja wa Beyonce mpaka mwaka 2011 amesema haya wakati anafundisha wanafunzi wa Howard University mjini Washington, D.C. kuhusu maswala ya usimamizi wa kazi na watu maarufu.

Mzee Mathew anasema jambo hili la kuzungumza mbele ya umati mkubwa wa watu Beyonce haliwezi ila dada yake Solange ndio mjuzi zaidi wa jambo hilo.

Mathew anasema, kama meneja wa lebo ni muhimu kujua uwezi na mapungufu ya msanii wako.

Video,Amber Lulu amkataa Shilole, atoa kauli ya mwisho kuhusu Mahusiano na Young Dee, je kweli kalala na Prezzo….

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open