Burudani

Brandy Norwood amekutwa amepoteza fahamu jioni hii kwenye ndege

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Star wa RnB Brandy Norwood amekutwa amepoteza fahamu jioni hii kwenye ndege akitokea Los Angeles kwenda New York City katika ndege ya Delta

Baada ya kukutwa na wahudumu wa ndege Brandy alipewa huduma ya kwanza na baadae kulazwa kweye chumba cha huduma za afya cha ndege za Delta.

Mpaka sasa haijulikana sababu ya Brandy kupoteza fahamu ghafla.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open