Burudani

Inasemekana Nicki amekerwa na wadau wa muziki Kitaja jina lake kwenye Sentensi moja na jina la Cardi B au Remy Ma.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Nicki Minaj amelalamikia HESHIMA Wanayopewa Wanawake kwenye Muziki ata baada ya Kufanya kazi kubwa kama wasanii wa Kiume.

Kupitia twitter Nicki Minaj anasema

1>Kwenye kazi yoyotemwanamke lazima afanye kazi mara mbili ili kupata nusu ya heshima anayopewa mwanaume kwenye kazi hio, wakifanya colabo na Drake, Kendrick & Jcole wanaitwa MA-MC wakali, wakifanya colabo na Nicki Minaj ni sababu walitishiwa bunduki kichwani’ .

2-Kuweka jina la mtu kwenye Sentensi moja na mimi baada ya kufanya vizuri kwa miaka 10 mfululizo, unawafundisha nini, uingeweka jina la mwanaume kama unavyofanya kwetu

3-Kendrick Lamar alisema miaka 7 iliyopita ‘Nimegundua wanaume wengi wanamchukia Nicki Minaj kuliko wanawake” 

Kauli hizi mbili zimetajwa kama hatua ya kwanza ya Nicki Minaj kupinga jina lake kutajwa Sentensi moja na Jina la Cardi B na Remy Ma.

#StoriBy Melisa On #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open